![Related image](https://scontent-iad3-1.cdninstagram.com/t51.2885-15/s320x320/e35/20766896_126188424667637_7314194374395428864_n.jpg?ig_cache_key=MTU3OTk3MDE3MTYxMDMzNzg4Ng%3D%3D.2&se=8)
Najua wengi mtakuwa mnafahamu rangi na maana zake lakini kwa wale wasiojuwa ama wanaopenda kuvaa lakini wanajinunulia rangi yeyote huu ndo wakati mwafaka.
Wanaume wengi wanaopenda wanawake wao wavae shanga ili kusisimuana tu .Je mnafahamu zinamaanisha nini?....Karibu tujifunze pamoja.
Katika swala la mahaba shanga hutumika
kusisimuana haswa pale utakapompata mwanaume anayejuwa kuzitumia vizuri
na unaweza kuvaa hata kumi ukitaka .
Jana niliguswa sana na simulizi la rafiki yangu juu ya shanga, hivyo nikaona boraniandike na wengne wajue.Hii ni sehem ndgo ya simulizi lake.
Naamini utakuwa umejifunza kitu fulani muhimu kutokana na simulizi hilo.Sasa turudi kwenye mada yetu.
Kuna wengine wanananunua rangi kama pink, blue, gold hizi rangi hazina maana kwenye sita kwa sita ni urembo tu kupendezesha kiuno.
Jana niliguswa sana na simulizi la rafiki yangu juu ya shanga, hivyo nikaona boraniandike na wengne wajue.Hii ni sehem ndgo ya simulizi lake.
".........Nilikutana na boyfiriend
wangu maeneo ya Shycom …tukaelekea kwenye disko. Tulikuwa tunacheza
madensi, halafu blues, ya Boyz to Men ikaanza kupigwa. Wenye disko
walipunguza taa. Mimi na boyfriend wangu tukakumbatiana na kuanza
kucheza Blues.
Miili yetu iligusana na akaana
kunipapasa taratibu kufuatana na beats za muziki. Nilifurahi sana.
Akateremsha mikono yake kwenye kiuno changu.
Alivyogusa shanga zangu akawa kama
mwili wake umekufa ganzi. Alisisimuka we! Akanishika kwa nguvu,
niligundua kuwa ham yake ilikuwa juu....."
Naamini utakuwa umejifunza kitu fulani muhimu kutokana na simulizi hilo.Sasa turudi kwenye mada yetu.
Kuna wengine wanananunua rangi kama pink, blue, gold hizi rangi hazina maana kwenye sita kwa sita ni urembo tu kupendezesha kiuno.
![Image result for SHANGA KIUNONI](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhHT0l7rFa9J3Q-2ojduPEMbRgm44_lIwkr3riTvCjcC-0ZamUzpPuV6BmdXhKojNbz2p2OumTJVMTgCMtlGtVrj9nuNah8kBJw_ra1tAanIwndiDukUlzwWrUnRgD_tEpiJVrSjQeWyeE/s320/ushanga.jpg)
RANGI ZENYE MAANA PINDI UWAPO KITANDANI NA MPENZI WAKO
Nyekundu: ukimkuta mwanamke amevaa shanga ya rangi hii unatakiwa kuelewa kwamba mwanamke
huyu yupo kwenye hedhi, kwahiyo wewe fanya mengine lakini sio
kutumbukia unless yeye mwenyewe amekuruhusu na wewe uwe na uwezo wa
kutumbukia hata akiwa kwenye hedhi (kitu ambacho kiafya akishauriwi).
Nyeupe: ukimkuta mwanamke amevaa shanga nyeupe hii humaanisha hana tatizo lolote litakalomfanya asikupe raha ya sita kwa sita, kwahiyo ukitaka tu muda wowote unapata.
![Related image](https://scontent-amt2-1.cdninstagram.com/t51.2885-15/e35/19761353_1906871692857781_3666096226014593024_n.jpg)
Nyeusi: ukimkuta mwanamke amevaa rangi nyeusi hii humaanisha ya kwamba yupo tayari kukupa raha za sita kwa sita lakini uwanja wake haujakatwa majani, kwa
hiyo chaguo ni lako kama unataka kutumia siku nzima kutafuta goli haya,
ama kama utamsaidia kumkatia majani uwanjani vizuri zaidi ama kama
huwezi yote basi mpe muda akate mwenyewe.
No comments