story_nzurii house of talent

Share:
Image result for your welcome

habari zenu wapenzi wa simulizi. Natumai muwazima wa afya kwa uwezo wake muumba wa mbingu na ardhi na kwa walio wagonjwa basi mungu awatie nguvu na kuwajalia afya tele. Uwanja huu mzuri wa simulizi nimeewaandalia nyie ndugu zangu na mtakuwa mkipata simulizi mbalimbali pamoja na darasa mbalimbali za kiafya, mapishi mapenzi na haswa mambo mbalimbali yanayohusiana na mazingira yetu. Nataman saana kusema mengi ila naona kama nitaaribu na sipendi kuwa muongeaji saana napenda kuwa mtekelezaji saana.   Karibuni saana maoni na ushauri wenu ni muhimu saana kwangu.

No comments