Dogo Janja
Story ya Mwimbaji wa R&B Ben Pol ku-
upload picha kwenye account yake ya
Instagram zinazomuonesha akiwa mtupu na
kuwa gumzo kwenye mitandano ya kijamii
inaendelea kuchukua sura mpya huku
baadhi ya mastaa wamekuwa na maoni
tofauti juu ya hilo.
Kupitia The Weekend Chart Show
inayorushwa na Clouds TV May 19, 2017 staa
kutoka Bongoflevani Dogo Janja ameeleza
hisia zake katika tukio hilo akisema Ben Pol
ni shujaa kwa kitu alichokifanya.
>>> “Ben Pol ni shujaa. Mimi nimependa
alichokifanya hasa. Role modal wake si John
Legend kwa hiyo hata content zake ndio zile
japo kwa Ben siwezi ku-judge kitu maana
sijui dhamira yake ilikuwa nini. Mpaka sasa
hivi nimekuwa mtu wa kufuatilia account
yake” – Dogo Janja.
Ben Pol
No comments